UGHAIBUNI|TFF WASIPUUZIE HIKI KIPAJI.

TFF WASIPUUZIE HILI.

🚨 #PlayingAbroad : Mtanzania 🇹🇿 #JamesDamas ( @damasjr13 ) anacheza soka nchini Germany katika klabu ya MTV Wolfenbuttel U19.

Damas Jr kinda mzaliwa wa Mwanza, anatikisa kwa sasa, uwezo wake umepelekea kuhitajika na vilabu vingi barani Ulaya sababu sifa yake Kuu akicheza winga zote mbili ni kukimbia ndani ya boksi, kupiga vyenga, mashuti au kutoa pasi za mwisho.

Nyota huyu kama @tanfootball wakichukulia poa sio ajabu kumshuhudia akicheza timu za Taifa za Ulaya. Huyu ana balaaa si mchezo.

     ```Endelea kupambana #DamasJr ```

Semi ya Leo:Fitina Ngozi ya tembo haifai Kuwamba.

1 Comments

Previous Post Next Post