Dar es salaam, Baraza la mitihani Tanzania NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2025.
Matokeo hayo yametangazwa na katibu mkuu wa sekretarieti ya NECTA Prof Said Mohammed siku ya Jumatatu ya tarehe 7 2025, Zanzibar na huku ikiwa mitihani hiyo ilifanyika mapema May 2025.
Angalia matokeo hapa... ⤵️