WYDAD KUNDI LA KIFO DROO YA FIFA CLUB WORLD CUP.


FIFA CLUB WORLD CUP NI MOTO

Droo ya mechi za FIFA CLUB world cup inastaajabisha...kuna  Real Madrid dhidi ya Al Hilal, Palmeiras dhidi ya Al Ahly, Manchester City dhidi ya Juventus na River Plate dhidi ya Internazionale ni miongoni mwa mechi nyingi za kuvutia zenye timu kutoka mashirikisho yote sita dunia ambayo club zao zimefuzu hatua hii.


Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wamepangwa dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia Manchester City-Juventus na River Plate-Internazionale ni miongoni mwa mechi nyingine za kuvutia Mashindano mapya ya timu 32 ambayo yatafanyika Marekani

Droo hiyo, iliyofanyika katika Kituo cha Telemundo huko Miami, Marekani, pia Manchester City walipangwa dhidi ya Wydad AC ya Morocco, Al Ain FC ya Falme za Kiarabu na Juventus FC katika Kundi G, wakati mabingwa wa Copa Libertadores ya CONMEBOL 2022 CR Flamengo watakutana na Espérance Sportive de Tunis, Chelsea FC na Club León ya Mexico katika Kundi D.




Group A

Group B

Group C

Group D

Group E

Post a Comment

Previous Post Next Post