AFYA KILELENI|TATUA TATIZO LA KUWAHI KILELENI.


HIVI UNAJUA TATIZO LAKO LA KUFIKA KILELENI MAPEMAAAA HUWA LINAANZIA HAPA

Iko hivi...

Mwanaume, Ili Uume wako Uweze kumwaga shahawa unahitaji Kupata joto la 40⁰C

Joto hili Unaweza Kulizalisha Mwilini Pale Unapoushughulisha Mwili Wako (Kufanya Mazoezi) na wakati wa Unashiriki  tendo la Ndoa.

Ndo Maana Huwa Unaambiwa unapopiga Show Kweli kweli  Ni kama unapiga zoezi la kuzunguka Uwanja wa mpira.

Ndo Maana Mwanaume  unapomwaga shahawa  unaweza kuwa katika hali ya kuchoka choka au unatumia nguvu kubwa kupiga ule mshindo, na pia ni ishaara umeshachoka.

Kwahiyo Unapofika Kileleni na Kumwaga Mbegu, Una utaarifu Mwili wako Kuwa Umeshachoka.

Hivyo ni vyema uelewe akilini Mwako, Wakati Unafanya Tendo, utamwaga mbegu muda wowote ikiwa tuu utakuwa umeshachoka.

▪︎ Sasa Kwa Mwanaume ambaye ana Misuli Imara Ya Uume, Mishipa Safi Inayoingiza Damu Kwenye Uume, Stamina na Mwili wenye nguvu nyingi, hawezi kumwaga Mapema au Kufika Kileleni Mapema Wakati wa Tendo.

Ila Kama...
Hauna  kiwango kikubwa Cha Nguvu na Ustahimilivu wa Mwili,
 Kila siku utamwaga mapema tuu Shwaaa

Unaweza kutamani uende dk 15 au 20 lakini unafika dk ya 2 au 5 tuu shwaaa umemaliza 🫨

Mzunguko wa Pili, Una utafuta Muda Mrefuuu, Unapoupata Unajisemea Huu sasa nitaenda Hata Dk 15 au 20,
Ila kabla hata Dk 10  hazijafika tayari magoti yamechoka, kiuno kimechoka Unajikuta Tayari Umeshamaliza...

Zingatia hili,...Kama Una:

▪︎ Magonjwa (Kisukari, Presha, Tezi Dume, Magonjwa Ya Mmeng'enyo wa Chakula ) nk

▪︎Lifestyle (Unene + Uzito) au Sumu Nyingi Mwilini.

▪︎Una Piga au Ulipiga Punyeto

Hakikisha Unapatia  Ufumbuzi Mapema Changamoto Hizi,
Hizo ndo Chanzo Kikubwa Cha Mwili Wako Kuchoka Mapema Unapokuwa Katika Tendo.

✅ Fanya Mazoezi Mepesi
 Haya Ni Muhimu Sana Katika Kuhakikisha Unakuwa na Mzunguko Mzuri wa Damu na Misuli Imara.

✅ Tumia Virutubisho Lishe.
Mwili Wenye Utajiri wa Viini Lishe Muhimu kama Vitamins, Protins na Amino Asids Kwa Wingi, 
Unakuwa Imara na Wenye Nguvu.
Lakini pia huwa na Mzunguko Mzuri wa Damu pia.

✅ Kubali Tatizo Unalo...
Kisha Epuka fedheha hii,  Kwasababu tatizo hilo sio la kudumu.
Unaweza kupona kabisa. 

Zingatia, Hakikisha Unapata mtu sahihi wa kukusikiliza na kukuhudumia maana Utapeli ni Mwingi Sana Kwasasa.

Naelewa, Unaweza Kuwa Umeshakata Tamaa, au Umeshatumia Njia Nyingi ila Hujakaa sawa...
Najua unavyojisikia, Ni Aibu na Ni Maumivu Kila Siku Kuenda Dk 2 au 5 Tuu...
 Ila Ukiamua Leo, Utakuwa bado haujachelewa.

Mawasiliano  Yangu:
+255692278734

Post a Comment

Previous Post Next Post