UJUMBE KWA WANAUME WANANDOA
🌸 Sio vibaya kuwa na WIVU juu ya mke wako lakini wivu uliopitiliza ni hatari sana kwa afya ya mapenzi
🌸 Daima usitumie WIVU kuamua tumia AKILI kufanya maamuzi
🌸 WIVU ni kwa ajili ya kulinda penzi na sio kufanya maamuzi
🌸 WIVU unafanya kazi vizuri unaporuhusu upendo utawale wivu ulionao kwa sababu kuna baadhi ya wanandoa hawawaamini wenza wao kwa sababu ya wivu kupita kiasi kutwa kuchukua sim ya mkewe kuichunguza hali hii INAMKOSESHA mke huyo amani moyoni na kujiona si mtu wa kuaminika kwake tuache hii tabia wanaume uaminifu ndio kila kitu na ndio nguzo katika maisha ya mimahusiano na ndoa.
Tags
MAISHA.