Hadithi Fupi|USIKU WA MANG'AMNG'AM



Stori: Usiku wa Mang'amng'am

Ilikuwa ni usiku sana wakati Mudi na Nasma walilala pamoja.

Ghafla kelele zinawastua usingizini, wanaamka haraka, na Nasma alimgeukia Mudi na kumwambia,

"Ni mume wangu huyo, unapaswa kuondoka haraka sana."

Mudi alivaa nguo zake haraka na ruka nje kupitia dirishani, taratibu alitambaa kwenye vichaka, na kutokea barabarani ndipo alipogundua kitu.

Mudi alirudi nyumbani na kumwambia Nasma, "Ngoja kwanza, ujue mimi ni mume wako."

Nasma alimuangalia Mudi na kumjibu kwa dharau, "Kwa nini ulikimbia sasa"

Post a Comment

Previous Post Next Post