G.O.A.Ts
🇵🇹 Ronaldo Vs 🇦🇷 Messi.
Shukanayo Sasa....
🇵🇹 Magoli mengi- Ronaldo
🇦🇷 Pasi za usaidizi-Assists - Messi
🇵🇹 Hattrick nyingi - Ronaldo
🇦🇷 Dribbleling Goals - Messi
🇦🇷 Ballon D'or nyingi zaidi - Messi
🇦🇷 Mfungaji bora nyingimara - Messi
🇵🇹 Magoli mengi UCL - Ronaldo
🇵🇹 Assist nyingi UCL - Ronaldo
🇦🇷 Tuzo nyingi za MVP Kimataifa - Messi
🇦🇷 Kuhusika kwa magoli mengi IFFHS - Messi
🇵🇹 Mfungaji Bora IFFHS - Ronaldo
🇵🇹 Magoli mengi KIMATAIFA - Ronaldo
🇦🇷 FIFA World cup goals - Messi
🇦🇷 FIFA world cup Assists - Messi
🇵🇹 Magoli ya kichwa- Ronaldo
🇵🇹 More Overhead Goal - Ronaldo
🇵🇹 Magoli mengi kwenye ligi kubwa 5-Ronaldo
🇵🇹 Magoli mengi dhidi ya timu kubwa- Ronaldo
🇵🇹 Most Complete Player - Ronaldo
🇵🇹 Mshindi zaidi wa Puskas Award - Ronaldo
🇵🇹 Mshindi wa "Fifa Best" Award - Ronaldo
🇵🇹 Mahindi zaidi wa "UFFA best player" award - Ronaldo
🇵🇹 Mshindi zaidi wa UCL Trophies - Ronaldo
🇵🇹 Makombe Mengi ya KIMATAIFA - Ronaldo
🇵🇹 Mchezaji bora wa Karne - Ronaldo
🇵🇹 Rekodi ya Dunia "Gunniness world Record" - Ronaldo
🇵🇹 Je? Cristiano Ronaldo ni GOAT?
Tumalize mjadala chini hapa ⤵️
Messsssssssssss mtuuu
ReplyDelete